Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimuapisha mhe. Stella Alex Ikupa kuwa naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu anayeshughulikia walemavu Ikulu jijini Dar es Salaam,Oktoba 9,2017.(Bofya blog kwa habari na picha)


-