Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapiasha Profesa Ibrahim Hamis Juma kuwa jaji mkuu wa 6 (sita)wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya uhuru hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.Septemba 11,2017.(Bofya blog kwa habari na picha)

-