Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali meja jenerali mstaafu Vicent Mritaba aliyelazwa hospitali ya jeshi Lugalo jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya majeraha baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wanaodhaniwa kuwa majambazi tarehe 11 Septemba 2017 nyumbani kwake Ununio Kinondoni Dar es salaam.(Bofya blog kwa habari na picha)


-