Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikisoma kitabu mara baada ya kukizundua rasmi kitabu hicho cha Dkt.Regnald Mengi kinachoitwa “I can,I must,I will”,hafla iliyofanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es salaam.Julai 2,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-