Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa kiwanda cha Cement cha Kilimanjaro Cement kilichopo Mjini Tanga, Aidha Rais ametembelea kiwanda cha Maziwa cha Tanga Fresh pamoja na Matank ya Mafuta ya kampuni ya GBP Agosti 6,2017 (Bofya blog kwa habari na picha)


-