Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la wagonjwa wa nje(OPD) la hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu.wengine ni Waziri wa Afya,maendeleo ya jamii,jinsia na watoto Ummy Mwalimu,Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luaga Mpina,Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo,Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthon Mtaka,Mbunge wa Jimbo la Bariadi Andrew Chenge,Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.hafla hiyo imefanyika Bariadi Mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)

-