Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi wakati Rais alipowasili Mkoani Singida eneo la Itigi ili kufungua Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa na Serikali kwa asilimia mia moja,Mheshimiwa Rais alikuwa akitokea kwenye Ziara ya siku tatu Mkoni Tabora Julai 25,2017. (Bofya blog kwa habari na picha)


-