Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubua baada ya baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw. Charles Kichere na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Edwin Mhede na kushuhudia kupokewa shilingi bilioni 3 kama Fidia ya kila mwezi ya kampuni ya Airtel na dola milioni moja mchango binafsi wa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam Juni 10, 2019


-