Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia zawadi ya Kitabu alichopewa Dkt. Akiva Tamir Mwakilishi wa Madaktari hao kutoka Taasisi ya Save a Child’s Heart kutoka Israel kama Heshma Maalumu ambayo Taasisi hiyo huitoa kwa watu Maalum.Ikulu Jijini Dar es salaam,Novemba 8,2018(Bofya blog kwa habari na picha)

-