Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa Wizara, Mikoa, Wilaya na Taasisi za Serikali zinazohusika na mazao ya Korosho na Ufuta baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es salaam. Novemba 1, 2019

-