Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ( kwa Afrika na Mashariki ya Kati) Bw. Willem Jacobs baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu Jijini Dar es salaa. Februari 20, 2019 (Bofya blog kwa habari na picha)
-




