Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mkono na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) Bw. Cornel Apson Mwang’onda mara baada ya mazungumzo yake na viongozi wastaafu na wa sasa wa vyombo vya Ulinzi na Usalama Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 31, 2017.


-