Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na baadhi ya Wajumbe wa Baraza jipya la wadhamini wa Chama cha Mapinduzi CCM Ikulu jijini Dar es Salaam.Julai 13,2018(Bofya blog kwa habari na picha)

-