Habari
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AHUTUBIA NA KUFUNGA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha mbalimbali alipowasili ukumbi wa bunge kuhutubia Wabunge wakati akifunga Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo tarehe 16 June 2020.