Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitazama vifaranga vya kuku mara baada ya kuzindua rasmi kiwanda cha kuzalisha vifaranga na chakula cha kuku cha Silverland kilichopo Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa. Mei 3, 2018.(Bofya blog kwa habari na picha).


-