Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Rais Dkt.John Magufuli pamoja na wajumbe wengine wakiwa wamesimama kwa dakika moja ili kuwakumbuka na kuwaombea Majeruhi na waliopoteza maisha katika ajali ya kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea Septemba 20,2018 katika ziwa Victoria kabla ya kuanza kikao cha kamati kuu Maalum ya Halimashauri kuu ya chama cha mapinduzi, Lumumba Jijini Dar es salaam.Septemba 29,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-