Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru wajumbe wa Tume aliyounda kuhakiki mali za CCM alipokutana nao na kupokea ripoti ya uchunguzi wao katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya Chama hicho Mtaa wa Lumbumba jijini Dar es salaam.Mei 21, 2018(Bofya blog kwa habari na picha)


-