Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea nyundo ya Uenyekiti kutoka kwa mwenyekiti wa muda ambaye pia ni Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe.Benjamin Mkapa mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa mwenyekiti katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma.Disemba18,2017.(Bofya blog kwa habari na picha)


-