Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, AMEFANYA MABADILIKO YA WAKUU WA WILAYA ILIKUBORESHA UTENDAJI KAZI.


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya

Muungano wa Tanzania, amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya ili

kuboresha utendaji kazi. Mabadiliko hayo yamezingatia kuwepo kwa

nafasi wazi ishirini na saba (27) zilizotokana na:

 

a) Kufariki dunia Wakuu wa Wilaya 3;

b) Kupandishwa cheo Wakuu wa Wilaya 5 kuwa Wakuu wa Mikoa;

c) Kupangiwa majukumu mengine Wakuu wa Wilaya 7; na

d) Kutengua uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 12.

 

Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amewateua Wakuu wapya

wa Wilaya 27 ili kujaza nafasi hizo wazi.

Aidha, Wakuu wa Wilaya sitini na nne (64) wamebadilishwa vituo vya

kazi na Wakuu wa Wilaya arobaini na mbili (42) wameendelea kubaki

katika vituo vya sasa.

 

1) Wakuu wa Wilaya waliofariki dunia

NA JINA WILAYA

 

1. Capt. (mst) James C. Yamungu Serengeti

2. Anna J. Magoha Urambo

3 Moshi M. Chang’a Kalambo

 

2) Wakuu wa Wilaya waliopandishwa cheo

Wakuu wa Wilaya wafuatao wamepandishwa cheo kuwa Wakuu

wa Mikoa

NA JINA WILAYA MKOA

ALIOPANGIWA

 

1. John Vianney Mongela Arusha  Kagera

2. Amina Juma Masenza Ilemela  Iringa

3.Dkt. Ibrahim Hamis Msengi Moshi  Katavi

4 Halima Omari Dendego Tanga Mtwara

5 Daudi Felix Ntibenda Karatu Arusha

 

3) Wakuu wa Wilaya waliopangiwa majukumu mengine

Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa na

watapangiwa kazi nyingine ni hawa wafuatao;

NA. JINA WILAYA

1 Brig. General Cosmas Kayombo Simanjiro

2 Col. Ngemela Elson Lubinga Mlele

3 Juma Solomon Madaha Ludewa

4 Mercy Emanuel Silla Mkuranga

5 Ahmed Ramadhan Kipozi Bagamoyo

6 Mrisho Gambo Korogwe

7. Elinas Anael Pallangyo Rombo

3

4) Wakuu wa Wilaya Wanaotenguliwa

Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa kutokana na

sababu za umri, kiafya na nyinginezo na vituo vyao ni kama

inavyoonekana hapa chini:

NA JINA WILAYA

 

1. James Kisota Ole Millya Longido

2. Elias Wawa Lali Ngorongoro

3. Alfred Ernest Msovella Kongwa

4. Dany Beatus Makanga Kasulu

5. Fatma Losindilo Kimario Kisarawe

6. Elibariki Emanuel Kingu Igunga

7. Dr. Leticia Moses Warioba Iringa

8 Evarista Njilokiro Kalalu Mufindi

9. Abihudi Msimedi Saideya Momba

10. Martha Jachi Umbula Kiteto

11 Khalid Juma Mandia Babati

12 Eliasi Goroi Boe Boe Goroi Rorya

 

5) Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa

Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Wilaya zao ni

wafuatao;

NA. JINA JINSI WILAYA

1. Mariam Ramadhani Mtima KE Ruangwa

2. Dkt. Jasmine B. Tiisike KE Mpwapwa

3. Pololeti Mgema ME Nachingwea

4. Fadhili Nkurlu ME Misenyi

5. Felix Jackson Lyaniva ME Rorya

6. Fredrick Wilfred Mwakalebela ME Wanging’ombe

7. Zainab Rajab Mbussi KE Rungwe

8. Francis K. Mwonga ME Bahi

9. Col. Kimiang’ombe Samwel Nzoka ME Kiteto

10. Husna Rajab Msangi KE Handeni

11. Emmanuel Jumanne Uhaula ME Tandahimba

12. Mboni Mhita KE Mufindi

13. Hashim S. Mngandilwa ME Ngorongoro

14. Mariam M. Juma KE Lushoto

15. Thea Medard Ntara KE Kyela

16. Ahmad H. Nammohe ME Mbozi

17. Shaban Kissu ME Kondoa

18. Zelote Stephen ME Musoma

19. Pili Moshi KE Kwimba

20. Mahmoud A. Kambona ME Simanjiro

21. Glorius Bernard Luoga ME Tarime

22. Zainab R. Telack KE Sengerema

23. Bernard Nduta ME Masasi

24. Zuhura Mustafa Ally KE Uyui

25. Paulo Makonda ME Kinondoni

26. Mwajuma Nyiruka KE Misungwi

27. Maftah Ally Mohamed ME Serengeti

 

6) Wakuu wa Wilaya waliobadilishwa Vituo

Wakuu wa Wilaya wafuatao wamebadilishwa vituo vya kazi

kama ifuatavyo;

 

JINA JINSIA

WILAYA

ATOKAYO AENDAYO

 

1. Nyerembe Deusdedit Munasa ME Arumeru  Mbeya

2 Jordan Mungire Obadia Rugimbana ME Kinondoni Morogoro

3 Fatma Salum Ally KE Chamwino Mtwara

4 Lephy Benjamini Gembe ME Dodoma Mjini Kilombero

5 Christopher Ryoba Kangoye ME Mpwapwa Arusha

6 Omar Shaban Kwaang’ ME Kondoa Karatu

7 Francis Isack Mtinga ME Chemba Muleba

8 Elizabeth Chalamila Mkwasa KE Bahi Dodoma

9 Agnes Elias Hokororo (Mb) KE Ruangwa Namtumbo

10 Regina Reginald Chonjo KE Nachingwea Pangani

11 Husna Mwilima KE Mbogwe Arumeru

12 Gerald John Guninita ME Kilolo Kasulu

13 Bi Zipporah Lyon Pangani KE Bukoba Igunga

14 Col. Issa Suleimani Njiku ME Missenyi Mlele

16 Bw. Richard Mbeho ME Biharamulo Momba

17 Bw. Lembris Marangushi Kipuyo ME Muleba Rombo

18 Ramadhani Athuman Maneno ME Kigoma Chemba

19 Venance Methusalah Mwamoto ME Kibondo Kaliua

20 Gishuli Mbegesi Charles ME Buhigwe Ikungi

21 Novatus Makunga ME Hai Moshi

21 Anatory Kisazi Choya ME Mbulu Ludewa

22 Christine Solomoni Mndeme KE Hanang’ Ulanga

23 Jackson William Musome ME Musoma Bukoba

24 John Benedict Henjewele ME Tarime Kilosa

25 Dkt. Norman Adamson Sigalla ME Mbeya Songea

26 Dr. Michael Yunia Kadeghe ME Mbozi Mbulu

27 Crispin Theobald Meela ME Rungwe Babati

28 Magreth Ester Malenga KE Kyela Nyasa

29 Said Ali Amanzi ME Morogoro Singida

30 Antony John Mtaka ME Mvomero Hai

31 Elias Choro John Tarimo ME Kilosa Biharamulo

32 Francis Cryspin Miti ME Ulanga Hanang’

33 Hassan Elias Masala ME Kilombero Kibondo

34 Angelina Lubalo Mabula KE Butiama Iringa

35 Farida Salum Mgomi KE Masasi Chamwino

36 Wilman Kapenjama Ndile ME Mtwara Kalambo

37 Ponsian Damiano Nyami ME Tandahimba Bariadi

38 Mariam Sefu Lugaila KE Misungwi Mbogwe

39 Mary Tesha Onesmo KE Ukerewe Buhigwe

40 Karen Kemilembe Yunus KE Sengerema Magu

41 Josephine Rabby Matiro KE Makete Shinyanga

42 Joseph Joseph Mkirikiti ME Songea Ukerewe

43 Abdula Suleiman Lutavi ME Namtumbo Tanga

44 Ernest Ng’wenda Kahindi ME Nyasa Longido

45 Anna Rose Ndayishima Nyamubi KE Shinyanga Butiama

46 Rosemary Kashindi Kirigini (Mb) KE Meatu Maswa

47 Abdallah Ali Kihato ME Maswa Mkuranga

48 Erasto Yohana Sima ME Bariadi Meatu

49 Queen Mwanshinga Mulozi KE Singida Urambo

50 Yahya Esmail Nawanda ME Iramba Lindi

51 Manju Salum Msambya ME Ikungi Ilemela

52 Saveli Mangasane Maketta ME Kaliua Kigoma

53 Bituni Abdulrahman Msangi KE Nzega Kongwa

54 Lucy Thomas Mayenga KE Uyui Iramba

55 Majid Hemed Mwanga ME Lushoto Bagamoyo

56 Muhingo Rweyemamu ME Handeni Makete

57 Hafsa Mahinya Mtasiwa KE Pangani Korogwe

58 Dr. Nasoro Ali Hamidi ME Lindi Mafia

59 Festo Shemu Kiswaga ME Nanyumbu Mvomero

60 Sauda Salum Mtondoo KE Mafia Nanyumbu

61 Seleman Mzee Seleman ME Kwimba Kilolo

62 Esterina Julio Kilasi KE Wanging’ombe Muheza

63 Subira Hamis Mgalu KE Muheza Kisarawe

64 Jacqueline Jonathan Liana KE Magu Nzega

7) Wakuu wa Wilaya wanaobaki katika vituo vyao vya sasa

Wakuu wa Wilaya wafuatao wanaendelea kubaki katika vituo

vyao vya sasa;

NA JINA JINSIA WILAYA

 

1 Jowika Wilson Kasunga ME Monduli

2 Raymond Hieronimi Mushi ME Ilala

3 Sophia Edward Mjema KE Temeke

4 Bw. Amani Kiungadua Mwenegoha ME Bukombe

5 Bw. Ibrahim Wankanga Marwa ME Nyang’wale

6 Bw. Rodrick Lazaro Mpogolo ME Chato

7 Bw. Manzie Omar Mangochie ME Geita

8 Bi. Darry Ibrahim Rwegasira KE Karagwe

9 Lt. Col. Benedict Kulikila Kitenga ME Kyerwa

10 Constantine John Kanyasu ME Ngara

11 Paza Tusamale Mwamulima ME Mpanda

12 Peter Toima Kiroya ME Kakonko

13 Hadija Rashid Nyembo KE Uvinza

14 Dkt. Charles O. Mlingwa ME Siha

15 Shaibu Issa Ndemanga ME Mwanga

16 Herman Clement Kapufi ME Same

17 Ephraim Mfingi Mbaga ME Liwale

18 Abdallah Hamis Ulega ME Kilwa

19 Joshua Chacha Mirumbe ME Bunda

20 Deodatus Lucas Kinawiro ME Chunya

21 Rosemary Staki Senyamule KE Ileje

22 Gulamhusein Kifu Shaban ME Mbarali

23 Christopher Edward Magala ME Newala

24 Baraka Mbike Konisaga ME Nyamagana

25 Sarah Philip Dumba KE Njombe

26 Hanifa Mahmoud Karamagi KE Gairo

27 Halima Meza Kihemba KE Kibaha

28 Nurdin Babu ME Rufiji

29 Mathew Sarja Sedoyeka ME Sumbawanga

30 Idd Hassan Kimanta ME Nkasi

31 Chande Bakari Nalicho ME Tunduru

32 Bibi Senyi Simon Ngaga KE Mbinga

33 Wilson Elisha Nkambaku ME Kishapu

34 Benson Mwailugula Mpesya ME Kahama

35 Paul Chrisant Mzindakaya ME Busega

36 Georgina Elias Bundala KE Itilima

37 Fatuma Hassan Toufiq KE Manyoni

38 Lt. Edward Ole Lenga ME Mkalama

39 Hanifa Mohamed Selengu KE Sikonge

40 Suleman Omar Kumchaya ME Tabora

41 Mboni Mwanahamis Mgaza KE Mkinga

42 Seleman Salum Liwowa ME Kilindi

 

Mabadiliko haya yameanza tarehe 18.02.2015 na ninawatakia wote

utendaji kazi mahiri.

Mizengo K. P. Pinda

18.02.2015 WAZIRI MKUU