Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA MTENDAJI WA SEKRETARIETI YA ENEO HURU LA AFRIKA (AFCTA) MHE. WAMKELE MENE TAREHE 30 JUNI, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara afrika (AFCTA) Mhe. Wamkele Mene Ikulu Jijini Dodoma, tarehe 30 Juni, 2021