Habari
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI NCHINI MSUMBIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Maputo Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika tarehe 23 Juni, 2021.
Pichani ni Mhe. Rais Samia akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano huo.