Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI DODOMA TAREHE 20 JUNI, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasiili Jijini Dododma tarehe 20 Juni 2021 akitokea Jijini Dar es Salaam.