Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM KUSHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MHANDISI PATRICK MFUGALE LEO TAREHE 02 JULAI, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021 akitokea Jijini Dodoma kushiriki ibada ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.