Habari
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU CHAMWINO, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, tarehe 22 Juni, 2021 Ikulu, Chamwino Jijini Dodoma.