Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Ashiriki Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara, Ikulu Dar es Salaam Leo Tarehe 26 Juni, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 12 wa Baraza la Taifa la Biashara katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete , Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 26 Juni, 2021.