Habari
Kuapishwa Baraza la Mawaziri
Mnaarifiwa kuwa Mawaziri na Manaibu Waziri walioteuliwa na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, wataapishwa siku ya jumamosi tarehe 12 Desemba 2015 Ikulu jijini Dare s salaam .
Tukio hili litafanyika kuanziza saa tano asubuhi
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu
11 Desemba 2015