Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa Pamoja na Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, wakati kikundi cha Halaiki kilipokuwa kikipita mbele kutoa heshma katika ya maadhimisho ya Sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Aprili 26,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)


-