Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea salamu ya heshima kutoka kwa gwaride maalumu lililoandaliwa na vyombo vya ulinzi na usalama Zanzibar katika sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Abeid Amani Karume kisiwani Unguja.Januari 12,2018.(Bofya blog kwa habari na picha).


-