Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni maafisa wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi kundi la 63/17 Ikulu Jijini Dar es salaam,Julai 7,2018.(Bofya blog ka habari na picha)


-