Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi wa John Kijazi, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji wakwanza kushoto Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera) Adolf Ndunguru wapili kutoka kulia Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Msafiri Mbibo wapili kutoka kushoto mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.


-