Habari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Ubelgiji hapa nchini Peter Van Acker Ikulu jijini Dar es Salaam.Oktoba 4,2018.(Bofya blog kwa habari na picha)
-




