Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Rais

Habari

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AREJEA NCHINI AKITOKEA NCHINI MSUMBIJI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo  Juni 23,2021, akitokea Maputo Nchini Msumbiji  alikohudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Ambapo kwenMkutano huo SADC imeridhia kuanzishwa kwa Kituo cha Haki za Binaadamu kitakachosaidia Nchi zinazokabiliwa na Athari za mabadiliko ya Tabia Nchi, kuweza kukabiliana na Janga la Covid 19 pamoja na kuangalia jinsi gani SADC itaweza kupambana na suala la Ugaidi. Mhe. Rais Samia amerejea Jijini Dodoma.