Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya Wapya 37, kuwahamisha vituo vya Kazi Wakuu wa Wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao.
Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 139, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 99 ambao ni kama ifuatavyo:
A) WAKUU WA WILAYA WAPYA:
1. Felician Gasper Mtahengerwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha
2. Marko Henry Ngu’mbi – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido
3. Emmanuela Kaganda Mtatifikolo – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru.
4. Gerald R. Mongella – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chemba
5. Kanali Boniphace Magembe – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Geita
6. Leah Lucas Ulaya – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe
7. Deusdedith Josephat Katwale – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Chato
8. Grace Henry Kingalame – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’halwe
9. Dkt. Linda Peniel Salekwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi
10. Dkt. Abel Mwendawile Nyamahanga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muleba
11. Japhet Mosses Maganga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa
12. Erasto Yohana Sima – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba
13. Julius Kalanga Laiser – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karagwe
14. Dinah Elias Mathamani – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza
15. Dkt. Christopher David Timbuka – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha
16. Amir Mohamed Mkalipa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
17. Kasilda Jeremia Mgeni – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Same
18. Goodluck Asaph Mlinga – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale
19. Chistopher E. Ngubiagai – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilwa
20. Beno Morris Malisa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya
21. Josephine Keenja Manase – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyela
22. Jaffar Mohamed Haniu – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe
23. Rebeca Sanga Msemwa – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro
24. Shaka Hamdu Shaka – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa
25. Rachel Stephen Kasanda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu
26. Hassan Omary Bomboko – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe
27. Victoria Charles Mwanziva – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ludewa
28. Kanali Joseph Samwel Kolombo – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti
29. Zephania Stephan Sumaye – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mafia
30. Lazaro Killian Komba– Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo
31. Dkt. Jane Chacha Nyamsenda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga
32. Wilman Kapenjama Ndile – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea
33. Mboni Mohamed Mhita – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama
34. Farida Salum Mgomi – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje
35. Solomon Jonas Itunda – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe
36. Zakaria Saili Mwansasu – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui
37. Naitapwaki Lumeya Tukai – Ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega
B) WAKUU WA WILAYA WALIOHAMISHWA VITUO VYA KAZI:
1. Suleiman Yusufu Mwenda – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba.
2. Edward Jonas Mpogolo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Same.
3. Halima Abdallah Bulembo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza.
4. Hashim Abdallah Komba – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea.
5. Mwanahamisi Athumani Mukunda – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi.
6. Saadi Ahmed Mtambule – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mufindi.
7. Sophia Mfaume Kizigo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkalama.
8. Godwin Crydon Gondwe – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.
9. Veronica Arbogast Kessy – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi.
10. ACP Advera John Bulimba – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega.
11. Majid Hemed Mwanga – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa.
12. Salum Hamis Kalli – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Magu.
13. Kisare Matiku Makori – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui.
14. Mohamed Hassan Moyo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa.
15. Kherry Denis James – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbulu. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.
16. Dkt. Vicent Naano Anney – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe.
17. Kanali Denis Filangali Mwila – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe.
18. Sebastian Muungano Waryuba – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Malinyi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga.
19. Danstan Dominic Kyobya – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara.
20. Dkt. Julius Keneth Ningu – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo.
21. Judith Martin Nguli – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale.
22. Hanafi Hassan Msabaha – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara. Alikuwa Mkuu wa Wilaya Uvinza.
23. Lauter John Kanoni – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe.
24. Matiko Paul Chacha – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaliua.
25. Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala.
26. Claudia Undalusyege Kitta – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi.
27. Fatma Almas Nyangasa – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni.
28. Nick Simon John – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
29. Halima Habib Okash – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero.
30. Filberto Hassan Sanga – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele.
31. Ngollo Ng’waniduhu Malenya – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga.
32. Johari Musa Samizi – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba.
33. Simon Peter Simalenga – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe.
34. Anna Jerome Gidarya – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Busega. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje.
35. Moses Joseph Machali – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkalama. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba.
36. Thomas Cornel Apson – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha.
37. Kemilembe Rose Lwota – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo.
38. Joshua Samwel Nassari – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda.
39. Esther Alexander Mahawe – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma.
40. Simon Kemori Chacha – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sikonge. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chemba.
41. Dkt. Mohamed Rashid Chuachua – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaliua. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya.
42. Said Mohamed Mtanda – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
43. Louis Peter Bura – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo.
44. Jokate Urban Mwegelo – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.
45. Albert Gasper Msando – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro.
46. Juma Said Irando – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai.
47. Zainab Abdallah Issa – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Pangani. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo.
C) WAKUU WA WILAYA WANAOENDELEA NA VITUO VYA KAZI:
1. Dadi Horace Kolimba – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu
2. Raymond Stephen Mangwala – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro.
3. Dkt. Khamis Athumani Mkanachi – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kondoa.
4. Remedius Mwema Emmanuel – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa.
5. Jabir Mussa Shekimweri– Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma