Taarifa kwa vyombo vya Habari
Kifo cha DC: Rais Kikwete amtumia salamu Waziri Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda kuomboleza kifo cha Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa, Ndugu Moshi Chang’a.
Rais Kikwete, TUCTA wajadili jinsi ya kuboresha maslahi na
ustawi wa wafanyakazi
Imetolewa Tarehe : Saturday 19th April 2014 | Imetolewa Na : Ikulu
Ni ukosefu wa adabu kuwatukana waasisi wa Tanzania - JK
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu kuwa baadhi ya Watanzania kuwatukana, kuwadhihaki na kuwakejeli Waanzilishi wa Taifa la Tanzania, Hayati Julius Nyerere na Ha...
JK: Tuzo hii ni ya Watanzania wote
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa Tuzo la Kiongozi Bora wa Maendeleo Afrika – “Africa’s Most Impactful Leader of The Year Award” kwa Watan...
KWA WAHARIRI WOTE
LEO SAA 10:00 JIONI KATIKA OFISI ZA MAWASILIANO YA RAIS – IKULU, KUTAKUWA NA PRESS CONFERENCE YA KATIBU MKUU KIONGOZI AMBAYO ITAFAFANU...