Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tovuti Rasmi ya Rais
Ofisi ya Rais - Ikulu

taarifa kwa vyombo vya habari
taarifa kwa vyombo vya habari

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU


Simu : +255-22-2114512, 2116898

Email : press@ikulu.go.tz

Tovuti : www.ikulu.go.tz

Faksi : 255-22-2113425

OFISI YA RAIS,

IKULU,

1 BARABARA YA BARACK OBAMA,

11400 DAR ES SALAAM,

TANZANIA


RaiswaJamhuriyaMuunganowa Tanzania Dkt. John PombeMagufuliametangazaBaraza la MawaziriambalolitakuwanaWizara 18, Mawaziri 19 naManaibuWaziri 15.

IfuatayoniorodhayawalioteuliwakulingananaWizarazao

 

 1. 1.   OfisiyaRais (TAMISEMI, Utumishi&Utawala Bora).

                              I.            (Waziri) George Simbachawene

                           II.            (Waziri) AngellaKairuki

                       III.            (NaibuWaziri) JaffoSeleman Said

 

 1. 2.   OfisiyaMakamuwaRais (MuunganonaMazingira).

                              I.            (Waziri) January Yusuf Makamba

                           II.            (NaibuWaziri) LuhagaJoelsonMpina

 

 1. 3.   OfisiyaWaziriMkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, AjiranaWalemavu).

                              I.            (Waziri) JenistaMhagama

                           II.            (NaibuWaziri) Dkt. AbdallahPossi

                       III.            (NaibuWaziri) Antony Mavunde

 

 

 1. 4.   WizarayaKilimo, MifugonaUvuvi.

                              I.            (Waziri) MwiguluLameckNchemba

                           II.            (NaibuWaziri) Willam Tate Ole Nasha

 

 1. 5.   WizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano.

                              I.            (Waziri) - Badohajateuliwa

                           II.            (NaibuWaziri) Eng. Edwin AmandusNgonyani

 

 1. 6.   WizarayaFedhanaMipango.

                              I.            (Waziri) - Badohajateuliwa

                           II.            (NaibuWaziri) Dkt. AshantuKijaji

 

 1. 7.   WizarayaNishatinaMadini.

                              I.            (Waziri) Prof. SospeterMwijarubiMuhongo

                           II.            (NaibuWaziri) Dkt. MedardKalemani

 

 1. 8.   WizarayaKatibanaSheria.

                           I.            (Waziri) Dkt. Harrison Mwakyembe

 

 1. 9.   Wizaraya Mambo yaNje, UshirikianowaAfrikaMashariki, KikandanaKimataifa.
 2. (Waziri) Dkt. Augustine Mahiga
 3. (NaibuWaziri) Dkt. Susan AlphonceKolimba

 

 1. 10.                WizarayaUlinzinaJeshi la KujengaTaifa.
 2.   I.     (Waziri) Dkt. Hussein Mwinyi

 

 1. 11.                Wizaraya Mambo yaNdani.
 2. (Waziri) Charles Kitwanga

 

 1. 12.                WizarayaArdhi, NyumbanaMaendeleoyaMakazi.
 2. (Waziri) William Lukuvi
 3. (NaibuWaziri) Angelina Mabula

 

 1. 13.                WizarayaMaliasilinaUtalii.
 2. (Waziri) - Badohajateuliwa
 3. (NaibuWaziri) Eng. RamoMatalaMakani

 

 1. 14.                WizarayaViwanda, BiasharanaUwekezaji.
 2. (Waziri) Charles Mwijage

 

 1. 15.                WizarayaElimu, Sayansi, TeknolojianaUfundi.
 2. (Waziri) - Badohajateuliwa
 3. (NaibuWaziri) Eng. Stella Manyanya

 

 1. 16.                WizarayaAfya, MaendeleoyaJamii, Jinsia, WazeenaWatoto.
 2. (Waziri) UmmyMwalimu
 3. (NaibuWaziri) Dkt. Hamis Andrea Kigwangalla

 

 

 1. 17.                WizarayaHabari, Utamaduni, WasaniinaMichezo.
 2. (Waziri) Nape Moses Nnauye
 3. (NaibuWaziri) Anastazia James Wambura

 

WizarayaMajinaUmwagiliaji.

 1. I.       (Waziri) Prof. MakameMbarawa
 2. II.      (Waziri) Eng. IsackKamwele

 

Mwisho

 

GersonMsigwa

KaimuMkurugenziMawasiliano, IKULU

10 Desemba, 2015