Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tovuti Rasmi ya Rais
Ofisi ya Rais - Ikulu

Rais ahudhuria mkutano wa EU

  • Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Rais wa Shirikisho la Austria Mhe. Heinz Fischer kabla ya mkutano baina ya nchi zao huko Alpbach, Austria.

  • Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na washiriki katika kituo cha mkutano wa Ulaya Alpbach 2013 wakati wa kikao cha mwisho ya tukio la kila mwaka Alpbach, Austria.

  • Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Shirikisho la Austria HE Heinz Fischer (kulia), Rais wa Tume ya Ulaya HE Jose Manuel Barroso (kushoto), na Rais wa Ulaya Forum Alpbach Dk Franz Fischler (wa pili kushoto) wakipokea maswali kutoka kwa waandishi wa habari na washiriki katika kituo cha mkutano wa Jukwaa la Ulaya Alpbach 2013 wakati wa kikao cha mwisho ya tukio la kila mwaka Alpbach.

  • Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Shirikisho la Austria HE Heinz Fischer (kulia) na Rais wa Tume ya Ulaya HE Jose Manuel Barroso (kushoto), wakisimama kwa makini wakati mwimbo wa Ulaya ukipigwa wakati wa kilele cha tukio la kila mwaka Alpbach, Austria, katika kituo cha mkutano wa Ulaya Alpbach 2013.

Albamu: RAIS KAGAME WA RWANDA AWASILI NCHIN...
Tarehe : 08th, March 2019
Albamu: RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTAN...
Tarehe : 27th, September 2018
Albamu: Sherehe za uwekaji wa jiwe la msing...
Tarehe : 11th, August 2017
Albamu: ziara ya Mhe. Recep Tayyip Erdogan ...
Tarehe : 24th, January 2017