Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tovuti Rasmi ya Rais
Ofisi ya Rais - Ikulu

RAIS WA MSUMBIJI AKIWA NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Geita Chato kwa ajili ya ziara ya siku moja ya kikazi nchini leo tarehe 11 Januari 2021

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Geita Chato kwa ajili ya ziara ya siku moja ya kikazi nchini leo tarehe 11 Januari 2021

  • Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita.

  • Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati wakiwasalimia wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita.

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuzungumza na Wanahabari

Albamu: RAIS WA MSUMBIJI AKIWA NCHINI KWA...
Tarehe : 12th, January 2021
Albamu: Mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Zamb...
Tarehe : 12th, January 2021
Albamu: WAZIRI WA MAMBO YA NJE YA CHINA WAN...
Tarehe : 12th, January 2021
 1 2 3 Next >>  Last >>